Jump to content

Translations:Event Center/Registration/FAQ/49/sw

From Meta, a Wikimedia project coordination wiki

Kwa toleo la kwanza la Meta-wiki, tutakuwa tukifanya majaribio ya zana na kikundi kidogo cha waandaaji wa tukio. Orodha ya waandaaji wa jaribio inaweza kupatikana kwenye V1 Summary page|Ukurasa wa V1 wa Muhtasari. Wajaribuji hawa wa mwanzo mwanzo ni pamoja na: waandaaji wa tukio ambao wamewasiliana na timu na kuomba kuwa wajaribu, waandaaji wa tukio ambao wamehudhuria mafunzo na saa zetu za kazi, na washiriki wa timu ya Kampeni. Waandaaji wa jaribio wataweza kuunda kurasa za matukio na kuwezesha usajili kwenye kurasa hizo kwenye Meta-wiki. Hata hivyo, kwa upande wa mshiriki, mtu yeyote ambaye ana akaunti ya Wikimedia iliyosajiliwa anaweza kujisajili kwa tukio kama mshiriki.